Selasa, 09 Maret 2010

Jigga na BK wamtembelea Pres' Obama IKulu ...

Pichani Jay Z, mkewe Beyonce, mama mkwe wake Tina, mwanamuziki Trey Songz na meneja wake Kevin Liles, pamoja na wadau wengine wa Def Jam wakiwa Ikulu wakimsubiria Pres' Obama kabla hawajaenda kupiga show Verizon Center, D.C jana usiku.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar